Maono na Dhamira

Wimbo wetu pia upo tofauti

DHAMIRA

Yapi merkezi inatambua miradi ya ukubwa wa ulimwengu. katika shughuli zake zote, Yapi Merkezi daima huzingatia maendeleo ya uturuki, maendeleo ya ustaarabu wa Dunia na kuridhika kwa wateja wake, washirika wa mradi, wafanyakazi na wanahisa kama yipaumbele vyake kuu.

Yapi merkezi amedhamiria katika kukamilisha kila Mradi anaoufanya ni wazi, wazi, ubunifu, na msingi wa maamuzi juu ya kuchakata maarifa na upainia katika nyanja zake zote za shughuli. Yapi merkezi anajali na kuhshimu historia, Mila imani, sheria mazingira na njia za maisha za nchi zote ambazo shuhuli zake ziko.

Yapi merkezi anawekeza mara kwa mara katika rasilmali watu, maarifa na teknolojia , na mifumo mipya ya usimamizi, kila mara akiweka maendeleo yake kwenye njia hii ili kuwa na ushindani, kufikia usimamizi bora wa hatari nakutoa bidhaa na huduma kwa wakati, ndani ya bajeti na kwa ubora na uhakika.

MAONO

Yapi merkezi Daima anategemewa katika kila kazi anayofanya, hutimiza ahadi zake anafanya kazi yake vizuri na anaboresha heshima yake kila mara.

Yapi merkezi anafahamu wajibu wa kudhibiti shughulizake kulingana na mifumo ya kikaida nayakitaasisi.

Vitendo vyote vya kampuni vya Yapi Merkezi Group vinafahamu wajibu wa kufanya kazi kwa mujibu wa lengo la kupata heshima Duniani kote.

Kampuni za Yapi merkezi hutambua shughulizao kwakuletwa maadili yaliyoongezwa nakuelta mabadiliko katika kazi walizopata.