Uzuri unaptikana kupitia utekelezaji mzuri wa mawazo yenye tija.
Kuzalisha msikivu zaidi kwa mageuzi na thamani ya manufaa zaidi kwa binaadamu kwa upungufu mdogo wa rasilimali za jumuiya ni wajibu wa wasimazi.
Hii ndiyo kanuni pekee ya "maadili" ambayo hupima ubora wa usimamizi na ubunifu.
- Yapi Merkezi daima hutafuta na kufuatilia urembo.
- Yapi Merkezi anapenda kazi nzuri, zenye changamoto na za kuridhisha ambazo ziko wazi kwa uvumbuzi, ubunifu na ambazo zitaleta matokeo mazuri.
- Kazi/mradi unaofanywa unapatikani kupitia utekelezaji mzuri wa mawazo yenye tija. Yapi Merkezi hupata mawazoyenye tija zaidi; inazitekeleza vizuri na kwamujibu wa mbinu sahihi ya kupata matokeo.
- Kazi/mradi ni mzuri tu kama kazi yake ya usanifu. kwa yapi Merkezi, mbunifu ndiye mshiriki muhimu zaidi wa timu ya mradi.
- kazi/mradi unaweza tu kufanywa pamoja na mpango wake na si zaidi.
- Yapi Merkezi hupanga Mipango bunifu na hitekeleza vyema kupitia washiriki wake wabunifu.
- Kazi/mradi huundwa na mawazo yanayotokana na taaluma kadhaa. Ushirikiano kamili wa mawazo unaumuhimu mkubwa. Mawazo yanayoweza kuwa na tija na yasiyo na tija au ya hakika au yasiyona uhakika mwanzoni.
- Yapi Merkezi inazingatia kazi nzima na inahakikisha ujumuishaji wa mawazo na kuweka vipaumbele na kisha kuzingatia kufafanua yale ambayo hayana uhakika....
- Yapi merkezi huakisi utu wa mwanadamu na mwanadamu na kutanguliza kazi. Yapi Merkezi inalinda hadhi ya pande zote zinazohusika katika mradi huo, sio tu mradi wake.
- Yapi Merkezi anajua kwamba kimsingi hakuna ubora wa kazi. Watu wenye vipawa ndanbi ya kampuni huunda ubora.
- Kila juhudi za Yapi Merkezi ni kujenga ustaarabu bora na kuboresha ubora wa maisha.
- Hakuna wakubwa huko Yapi Merkezi kuna maadili.
- Yapi Merkezi katika shughuli zake zote imeunganishwa katika maadili na kanuni zilizotajwa katika waraka huu pamoja na wafanyakazi wake wote.
Imechukuliwa kutoka kwa wasilisho la Ersin Arıoğlu linaloitwa " nini inapaswa kuwa mtinda wa biashara wa Yapi Merkezi katika miaka ijayo ambao unajumuisha mabadiliko na kutokuwa na uhakika" mnapo 09.02.2012